Alex Ngereza "Simba Wamejikoroga Shirikisho, Wakitoboa Nipo Hapa"

Alex Ngereza "Simba Wamejikoroga Shirikisho, Wakitoboa Nipo Hapa"

Simba wapo kwenye kundi gumu na wala sitoshangaa wakishindwa kuingia robo fainali ya CAF Confideration licha ya kuingia kama Giant kwenye kundi

Kapangwa na timu ngumu sana CS SFAXIEN ni mabingwa mara tatu kwenye shirikisho barani Africa mwaka 2007,2008 na mwaka 2013 so sio timu nyepesi

Wakati huo huo wamepangwa na St Constaine ya Algeria ni timu ngumu sana kwa Simba licha ya kutopata mafanikio makubwa kwenye soka la Africa...

Timu pekee ambayo ni nyepesi kwa Simba na Bravos kutoka Angola lakini hawa wengine wanaweza kuwaondoa Simba kwenye mashindano bila shida yoyote "  


 1. CS Sfaxien Ni bingwa mara 3 wa kombe la shirikisho,wamefika nusu fainali mara 2 CAF Champions league.

2. CS Constantine Ni bingwa mara 2 wa ligi ya Algeria,wamefika robo fainali mara 1 CAF Champions league.

3. Wao Bravo ni mara yao ya kwanza kushiriki michuano ya kimataifa. Anasema Hans Rafael.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad