Ali Kamwe Awavuruga Watu wa Simba....



Meneja wa Havari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefichua mipango ya klabu hiyo ambapo ameeleza kuwa Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni ndani ya kikosi hicho ambacho mpaka sasa tayari ni moto wa kuotea mbali.


“Nataka niwaambie tu Yanga hiç bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni kwa hiyo haijakamilika tunahitaji kuchukua ubingwa wa Afrika” amesema Ali Kamwe.


“Huyo mchezaji aliyemsema Rais Hesi tumemleta alikuwepo uwanjani katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo na amekuja kufanya mazungumzo na kusajili tayari kwa kuanza kazi katika michuano ya kimataifa” alisema Kamwe

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad