Ally Kamwe Awapongeza Coastal Union: Bila Nininyi Tusingejua kuwa Camara ni Shati Golini

 

Ally Kamwe Awapongeza Coastal Union: Bila Nininyi Tusingejua kuwa Camara ni Shati Golini



Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amewapongeza Coastal Union kwa kumfunga kipa wa Simba SC, Moussa Pinpin Camara.


Leo wakati akizungumza na waandishi wa Habari, Kamwe alisema “Nichukue fursa hii kuwapongeza kwa kazi nzuri ambayo mliifanya kipindi cha kati hapa bila nyie tusingejua kama yule golikipa [Camara] ni shati ni kazi nzuri mlikuja nayo na mkaifanya vizuri na sisi tukapita mule mule.”


Yanga kesho watashuka dimbani kukipiga dhidi Coastal Union majira ya saa 10:15 jioni kwenye Uwanja wa Shekh Amri Abeid, Arusha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad