Ally Kamwe : Mayele Ongea na Wenzako,Mna Point 9 Tayari Acheni Sifa Leo....

Ally Kamwe : Mayele Ongea na Wenzako,Mna Point 9 Tayari Acheni Sifa Leo....

Ally Kamwe : Mayele Ongea na Wenzako,Mna Point 9 Tayari Acheni Sifa Leo....

Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amewataka mashabiki wa Taifa Stars wajitokeze kwa wingi jioni ya leo saa 10:00 kuishangilia Stars kwasababu Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu tayari ameshanunua tiketi 20,000 za mchezo huo.

"Oya Mwamba @mayelefiston Ongea na wenzako. Mna pointi 9️⃣ Tayari nyie! acheni sifa leo😀 Watanzania tunakuja kwa Mkapa kufata furaha leo🏟️.

"Tuwahini Uwanjani ndugu zangu. Rais wa Nchi Mama Samia kashanunua tiketi, Mageti yako wazi yanatusubiri sisi tu.

"Mungu Ibariki Tanzania👊🏼🙏🏼."

Ameandika Afisa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, @alikamwe kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad