Ally Kamwe "Mimi Ndio Msemaji PEKEE Mwenye Bond na Timu Yangu, Muulizeni Ahmed Ally Historia yake'


Ally Kamwe "Mimi Ndio Msemaji PEKEE Mwenye Bond na Timu Yangu, Muulizeni Ahmed Ally Historia yake'


Ally kamwe anasema kuwa yeye ndiye msemaji pekee anayefanya kazi kwenye timu anayoshabikia na alikuwa anashabikia muda mrefu (Yanga)
.
....."Watafuteni hao wengine waulizeni historia yao na hizo timu zao, mtafuteni hata huyo mwingine (Ahmed ) mwambieni tunaomba historia yako na Simba, tuambie mwaka 2002 , 2003 ulikuwaje na simba"
.
....."Mwambieni hata 2003 wakati Simba anamtoa Zamaleck yeye alikuwa wapi na awaoneshe mtu wa kwenda kuthibitisha, mbona haya mambo rahisi tu"
.
"Mimi ndio Msemaji pekee mwenye bond na timu Yangu, na ndo maana naweza kuisemea chochote Yanga, ukiwa msemaji wa timu unayoshabikia haupati shida cha kuongea"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad