ATEBA Awatisha Yanga: Nitawafunga Yanga Hata Kama Beki wao ni Sergio Ramos

ATEBA Awatisha Yanga: Nitawafunga Yanga Hata Kama Beki wao ni Sergio Ramos


Nataka kuwafunga Yanga Tar. 19, sitaki kujua wana mabeki wa aina gani, sitaki kujua kama kuna Sergio Ramos anacheza Yanga, sitaki kujua majina ya mabeki wa Yanga, ninachohitaji ni kufunga" - Christian Lionel Ateba Akiongea na waandishi wa Habari

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad