ATEBA: Bacca Ameogopa Maneno Yangu Kajifanya Kaumia



BACCA AMEOGOPA MANENO YANGU - ATEBA

Jana Lionel Ateba alikuwa Live kupitia Mtandao wa Instagram kuna Shabiki akamuuliza

"umeona kuwa beki wao amepost ameumia"

Ateba akajibu
"Nimeona but I think he is pretending and afraid my words" Yaani akimaanisha kuwa anasingizia na anahisi Bacca ameogopa maneno yake ya kuwa lazima atawafunga Yanga......
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad