Beki Simba Kuikosa Taifa Stars

 

Beki Simba Kuikosa Taifa Stars

Beki wa klabu ya Simba Abdulrazack Hamza atakosekana kwenye michezo miwili ya kufuzu fainali za mataifa ya Afrika [AFCON 2025] kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Coastal Union.


Nyota huyo huenda akarejea tena uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Yanga unaotarajiwa kupigwa mwezi huu(October)tarehe 19.Nafasi ya Hamza inachukuliwa na Ibrahim Ame mlinzi wa klabu ya Mashujaa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad