Bonge Moja la Mechi, Yanga Yamfunga Singida Big Star Kikatili Sana, Pacome......


Bonge moja la mechi hasa kipindi cha Pili.Yanga bado wanaendelea walipoishia katika Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

Kipi kichwa cha HABARI kizuri kwa mchezo huu..😊

✅️ Derby ya GSM imefana sana....
✅️Yanga SC mwendo mdundo
✅️Yanga lidude likubwa
✅️Singida wapoteza mchezo wao wa kwanza
✅️Kiko wapi Singida Black Stars

FT: Singida Black Stars 0-1 Yanga, Goli limefungwa na Pacome
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad