Boniface Jacob Kuwalipia FAINI Wafungwa 10 ili Waachiwe Huru

 

Boniface Jacob Kuwalipia Faini Wafungwa 10 ili Waachiwe Huru

Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesema ametoa ofa ya kuwalipia faini Wafungwa 10 waliopo katika Gereza la Segerea ili waachiwe huru


Amesema hayo baada ya kuachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Oktoba 7, 2024


Boniface anakabiliwa na kesi ya uchapishaji ‘taarifa za uwongo’ kwenye Mitandao ya Kijamii kwa nia ya kupotosha umma, pia kuchapisha taarifa za uongo akiwahusisha Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Utekaji na mauaji ya Watu na kutupa miili yao Sept. 14, 2024.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad