Burna Boy Kuwaburuza Kortini Wanaomchafulia Jina Sakata la P Diddy

 

Burna Boy kuwaburuza Kortini wanaomchafulia jina

Msanii kutokea nigeria African Giant Burna Boy ni kama anatoa au kupeleka ujumbe kwa wale wote wanaomchafua kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuhusishwa na mambo ya Diddy na hii ni baada ya kumpeleka kwenye vyombo vya sheria huko nchini kwao Nigeria mmoja wa kijana ambaye alikua ametoa maneno machafu juu yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad