Chino Kid: Mimi na Marioo Tumesaidiana, Alinikuta Tayari Mimi ni Mkubwa Katika Game


Msanii Bora Chipukizi kwenye Tuzo za #TMA, @chino_kidd7 amefunguka kuhusu kuacha kumtaja Staa wa muziki @marioo_tz kama moja ya watu wenye mchango kwenye safari yake ya Music.
.
Akizungumza kwenye #Whatspoppin ya #Cloudsfm #Chino amesema kuwa….

“Nilikuwa na furaha sana ile siku ndio maana sikumaliza maneno yote kuna baadhi ya maneno nilikosea kwa furaha, Kuna watu wengi sikuwataja kama kina @s2kizzy lakini sipendi kutengenezewa stori mimi ni kijana ninaepambana na nina mchango kwa wasanii kibao sio lazima niwe naongea”

“Ukizingatia @marioo_tz mimi ni mkubwa kuliko yeye nimezaliwa 1995 lakini tulianza kazi tukiwa tunapambana hatuna kitu Kwahyo wote tumesaidiana kwahyo #Marioo anapaswa kunishukuru na Mimi”

“Nimekutana na #Marioo mimi tayari ni Dancer wa #RichMavoko najulikana nmewahi kucheza mpaka #WCB, #RichMavoko ndio amefanya watu wanijue “

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad