Clatous Chama 'Ndoto ya Kuchukua Ubingwa wa Afrika Nikiwa na Yanga Unawezekana'


“Ndoto yangu kwenye michuano ya CAF ni kuchukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika ukiacha kuwa Mfungaji Bora CAF ndoto yang kubwa ni kuchukua ubingwa wa Afrika.

“Kuvaa medali za ubingwa CAF nikiwa Yanga inawezekana kwasababu kama tunavyoona sasa hivi timu iko vizuri sana na natamani sana timu ifike finali na tutimize hiyo ndoto kama timu, ni kitu kikubwa kushinda ligi ya mabingwa,” Kiungo wa Yanga Sc, Clatous Chama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad