Congo Yafuzu Kwenda AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Taifa Stars

Congo Yafuzu Kwenda AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Taifa Stars

 Congo Yafuzu Kwenda AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Taifa Stars

Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imefuzu kwenda AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Tanzania kwenye mchezo wa kuwania kufuzu michuano hiyo uliopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.

Mabao mawili ya dakika za jioni kutoka kwa Meschack Elia yametia doa matumaini ya Taifa Stars kufuzu AFCON 2025 baada ya kukubali kichapo cha pili mfululizo dhidi ya Wakongomani hao.

Taifa Stars inasalia nafasi ya pili ikiwa na alama nne baada ya mechi nne huku Guinea ambayo imecheza mechi tatu ikiwa nafasi ya tatu ikiwa na pointi tatu wakati Washika mkia Ethiopia wakiwa na pointi moja baada ya mechi tatu.

FT: Tanzania 0-2 DRC

⚽ 88′ Meschack Elia

⚽ 90+4′ Meschack Elia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad