Diamond Platnumz Ampigia Kampeni Kiaina Mbunge Akson Tulia "Kila Mkoa Unamtamani"

Diamond Platnumz Ampigia Kampeni Kiaina Mbunge Akson Tulia "Kila Mkoa Unamtamani"

Diamond Platnumz Ampigia Kampeni Kiaina Mbunge Akson Tulia "Kila Mkoa Unamtamani"

Mwanamuziki Diamond Platnumz amewataka wananchi wa Mbeya kutembea kifua mbele kwa kuwa walimchagua Spika wa Bunge la Tanzania Dr.@tulia.ackson .

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, @diamondplatnumz ameandika,

“Wana Mbeya mnatakiwa mtembee kifua mbele kwa kuwa mlichagua Jembe, Tulia Ackson ni Jembe ambalo kama hamjui kila mkoa unatamani angekuwa mbunge wao.

“Picha linaanza yeye ndio Rais wa Wabunge wote duniani. Yani Wazungu, Waarabu, Wahindi, Wachina, Wabunge wote unaowajua wewe duniani yeye ndio Rais wao. Tusikubali kulipotez hili Jembe!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad