Dickson Job Chukua Mapema Maua yako

Dickson Job Chukua Mapema Maua yako

 Dickson Job Chukua Mapema Maua yako

Marking na uwezo wa kuakisi matukio kutoka kwa Dickson Job kwenye yale maeneo ya pembeni mwa uwanja ilikuwa ni Elite hasa kwenye kipindi cha kwanza.

Yao alipopanda, mchezaji yeyote aliejaribu kuishambulia Space anayoiacha upande ule mipango yake ilikuwa inamalizikia kwenye miguu ya Job.

Kila mara alipoenda kudhibiti mpira ama mwenye mpira basi alifanikiwa kwa asilimia 100%.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad