Donald Trump Amjibu Obama Baada ya Kuimba Wimbo wa Eminem Kwenye Kampeni


Donald Trump Amjibu Obama Baada ya Kuimba Wimbo wa Eminem Kwenye Kampeni

Donald Trump Amjibu Obama Baada ya Kuimba Wimbo wa Eminem Kwenye Kampeni

Donald Trump amemshambulia Barack Obama kwa kumuunga mkono Kamala Harris kwenye kampeni zake, hata akamuita "mpumbavu." Obama, mwenye umri wa miaka 63, aliwashangaza wengi aliporap wimbo wa Eminem “Lose Yourself” kwenye mkutano wa Harris mjini Detroit.

Trump, akizungumza na wafuasi wake huko Greensboro, North Carolina, alimtuhumu Obama kwa kuwa mgawanyaji na kudai kuwa aliletwa kwenye kampeni kwa sababu Harris hana uwezo wa kufanya kampeni peke yake. Eminem, rapa maarufu kutoka Detroit, alimpongeza Obama kabla ya kuwasihi watu kupiga kura Novemba 5.

Kwenye video tuliyochapisha mapema, Obama aliingia jukwaani akimsifu Eminem na kuachia shoo ya ghafla wa wimbo wa Eminem, "Lose Yourself," huku akihimiza umoja na matumizi ya sauti kwenye uchaguzi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad