Fei Toto Awekewa Mezani Offer ya Mshahara wa Milioni 35 Kila Mwezi na Azam





Fei Toto amewekewa ofa ya mkataba mpya mezani na Azam,ofa hiyo ni ya mkataba Wa miaka miwili Wenye thamani ya Tsh 700m kama sign-on fee,Mshahara wa Tsh 35m kwa mwezi na Ubalozi wa Azam Pesa.

Fei akikubali kusaini mkataba Huo ataendelea kubaki Azam kwa miaka mingine mitatu na nusu,kwani hivi ÅŸaÅŸa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na nusu na Azam.

Aidha mkataba huo mpya una kipengele cha kuvunjwa kwa $2m sawa na Tsh 5,450,000,000 kwa timu yeyote inayomuhitaji.

Hata hivyo viongozi wa Simba wanaendelea ku-push kwa nguvu ili kumnasa kiungo huyo wa Tanzania mwishoni Mwa msimu huu.

Hadi ÅŸaÅŸa Maamuzi yamebaki mikononi Mwa Fei aidha abaki Azam au ajiunge na Simba.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad