Fiston Mayele "Upande Wetu Congo Tulikuwa Tunamuhofia Simon Msuva, Hata Kocha Aliulizia Kama Ameitwa"

Fiston Mayele "Upande Wetu Congo Tulikuwa Tunamuhofia Simon Msuva, Hata Kocha Aliulizia Kama Ameitwa"

 “Nataka niwaambie watanzania, kuna vitu wanapaswa kufanya, mfano Msuva kwa upande wetu tulikuwa tunamhofia, hata kocha wetu aliulizia sana kama ameitwa, kama angekuwepo wangesaidiana na Samatta ingekuwa vizuri sana, tulipata faida kwasababuhttps://www.sokatanzania.com hakuwepo,’’

— FISTON MAYELE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad