Fred Vunja Bei Asema DIVA Amemuomba Atoe Mbegu Apandikize Mtoto

Fred Vunja Bei Asema DIVA Amemuomba Atoe Mbegu Apandikize Mtoto



Mfanyabiasha Fred Vunjabei amesema kuwa mtangazaji Diva the Bawse wa Wasafi FM anataka kupandikiza mbegu za Mtoto kwake na sio kwamba anataka wawe mwenye mahusiano kwakuwa kuna vigezo anavitaka kwa Mtoto wake ameviona kwa Fred

Vunja Bei ameeleza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Morogoro wakati wa uzinduzi wa duka lake jipya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad