Godbless Lema "Mkajiandikishe Kwa Wingi ili Wakiiba Kura Tujue Wameiba"

Godbless Lema "Mkajiandikishe Kwa Wingi ili Wakiiba Kura Tujue Wameiba"


Nilitoa video kama ya tangazo ya kuwahamasiha nyinyi wananchi, muende mkajiandikishe na nilisema maneno yafuatayo: pamoja na figisufigisu na ukiukwaji wa taratibu na sheria na kanuni lakini nendeni mkajiandikishe (Kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa) ili wakishinda kwa wizi, tujue wameshinda kwa wizi. Hii taarifa ninaitoa kwa wananchi wote nchi nzima hususan kanda ya Kaskazini ambapo mimi ni mwenyekiti wake (CHADEMA). Wananchi wa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha, kwa siku sita zilizobaki, pamoja na hali yote ambayo tunaiona nendeni mkajiandikishe kwa wingi, ili wakiiba kura tujue wameiba kura, ni muhimu sana kila mtu akajiandikisha"- Lema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024 juu ya zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika daftari la mkazi linaloendelea nchini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad