Golikipa Juma Kaseja Kuwa Kocha Kagera Sugar

Golikipa Juma Kaseja Kuwa Kocha Kagera Sugar


Baada ya juzi uongozi wa Kagera Sugar kutangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu, Paul Nkata, nyota wa zamani wa Simba na Yanga, Juma Kaseja anatajwa kurithi mikoba ya Mganda huyo.

Kaseja mwenye leseni A ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambaye ndiye amebakishwa katika benchi la ufundi lililotupiwa virago na kwa sasa yupo kwenye benchi la ufundi la timu ya taifa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) inayoshiriki mashindano ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) ukanda wa Afrika Mashariki yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad