HAJI Manara Atoa Mpya "Try Again Ndio Alifanya Niondoke Simba"

HAJI Manara Atoa Mpya "Try Again Ndio Alifanya Niondoke Simba"


Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Simba kabla ya kuhamia Yanga, Haji Manara amefunguka kuwa Salim Abdallah almaarufu Try Again, ndiye aliyesababisha akaondoka Simba na baadaye kuhamia Yanga.

Akifanya mahojiano na kituo kimoja cha redio leo Oktoba 16, 2024, Manara amesema kuwa Try Again ambaye kwa kipindi hicho alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, alimtengenezea mazingira magumu ya kufanya kazi mpaka akaamua kuondoka.

Amesisitiza kuwa watu wengi walikuwa wakidhani kwamba aliondoka Simba kwa sababu ya Mohamed Dewji 'Mo' au Barbara Gonzalez lakini si kweli, bali aliondoka kwa sababu ya Try Again.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah almaarufu 'Try Again'

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad