Hatima ya Kocha wa MAN United Ten Hag Kuamriwa Leo

 

Hatima ya Kocha wa MAN United Ten Hag Kuamriwa Leo

Tetesi za usajili barani Ulaya zinasema hatma ya kocha Erik ten Hag katika klabu ya Manchester United itaamuliwa wakati wa mkutano wa timu hiyo leo huku msaidizi wake, Ruud van Nistelrooy akipewa nafasi kubwa ya kuchukua nafasi kama kocha wa muda iwapo mabadiliko yatafanyika.(Guardian)


Manchester United inapanga mjerumani Thomas Tuchel awe mbadala wa Ten Hag. (Manchester Evening News)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad