HATIMAYE Harmonize Adhibitisha Kuachana na Mrembo Poshy Qeen


BAADA ya kuwepo maneno mengi mitandaoni kuwa @harmonize_tz na @poshyqueeen wameachana baada ya kupigana 'BLOCK INSTA'

Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize @harmonize_tz ameendelea kushika masikio ya watu baada ya kukiri kwa kusema kuwa kwa sasa asihusishwe na yoyote katika mahusiano.

Harmonize amehusishwa kurudiana na aliyekuwa mchumba’ke, Kajala Masanja @kajalafrida 🔥

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

“Naliona kila neno linalozungumzwa kuhusu mahusiano yangu.

“On God, siwezi kukificha nilichokiweka public.

"Ukimya wangu unachangiwa na kuhofia kauli yoyote ikaibua mitazamo mbalimbali.

“Heshima yangu kwa familia yake ni kubwa saana katuko pamoja kwa uzuri.

“Ifike mahala tunayakiwa kufahamu kila linalotokea limepangwa na Mungu kaka sio wauminu sana basi tusikilize hata maneno ya wahenga chahuyu hakiwezi kuwa cha yule.

“Mwisho kabisa naomba msinihusishe na mahusiano yoyote kwa sasa”.

Ameandika Harmonize kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad