HATIMAYE Mangungu na MO Dewji Wapigiana Makofi

 

HATIMAYE Mangungu na MO Dewji Wapigiana Makofi

MWENYEKITI wa Simba Murtaza Mangungu amemshukuru Muwekezaji wapiga timu hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mohammed Dewji “MO Dewji” kwa kusisitiza wanasimba kuiunga mkono timu yao.

“Tunakushukuru Rais wa Simba, Mohammed Dewji kwa hotuba nzuri. Pamoja na kusisitiza wanachama na wapenzi wa Simba kwenda viwanjani kuiunga mkono timu yao kadhalika tunawasisitiza sana umuhimu wa kutumia bidhaa zinazotokana na wadhamini wetu.”

“Tunafikia hatua ya mwisho ya mabadiliko lakini mabadiliko yoyote lazima yatakuwa na maumivu nadhani tuvumilie ili tumalize haya yote kwa pamoja.”

“Sisi bodi tutaunga utekelezaji wa mradi wa miundombinu.

Mwisho nitoe shukrani kwa serikali, tunasafiri nchi mbalimbali na maafisa wa ubalozi wamekuwa wakija tunashirikiana ili kila kitu kwenda vizuri. Sisi Simba Sports Club tutaendelea kuunga mkono serikali.” – Murtaza Mangungu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad