Juma Mgunda Awa Kocha Mkuu Namungo FC, Zahera Apewa Kazi Ingine



𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Aliyekuwa kocha wa klabu ya Simba Sc, Juma Mgunda ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Namungo Fc ambapo atasaidiwa na Kocha Ngawina Ngawina, Shadrack Nsajigwa na Vladimir Niyonkuru.

Taarifa iliyotolewa na Wauaji hao wa Kusini imebainisha kuwa aliyekuwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera amebadilishiwa majukumu ambapo kwa sasa atakuwa mshauri wa benchi la Ufundi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad