Kaizer Chiefs Wanamtolea Macho Feisal Salim, Simba Wakizubaa Ameenda...




Kaizer Chiefs ina mpango wa kumsajili kiungo wa Azam FC Feisal Salum "FEI TOTO" Kaizer Wana uhitaji mkubwa wa mchezaji huyo na wapo serious na usajili huo kwa kuweka mipango mikakati kwa ajili ya kupata huduma ya Feisal.

Viongozi wa Kaizer Chiefs wana mpango wa kuja kuzungumza na Uongozi wa Azam FC mwezi ujao, ingawa kwa sasa hakuna mazungumzo rasmi yaliyofanyika.

Licha ya maslahi hayo kaizer Chiefs wanachukua muda wa kutathamini kwa hali ilivyo na kuchagua njia sahihi ya kumpata Feisal.

Ikumbukwe Kaizer Chiefs inaongozwa na Kocha wa zamani wa Yanga SC Nasreddine Nabi na alishawahi kumfundisha Feisal.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad