Kajala Masanja na Mwanamuziki Harmonize Wadaiwa Kurudiana

 

Kajala Masanja na Mwanamuziki Harmonize Wadaiwa Kurudiana

Harmonize; ni msanii mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania baada ya kudaiwa kuachana na mpenzi wake Poshy Queen ; mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) wanazengo wanadai kuwa amerudisha majeshi kwa aliyekuwa mchumba’ke, Kajala Masanja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad