Kamanda Muliro Afunguka "Sisi Ndio Tuliyemuokoa Sativa"



“Sisi ndio tulimuokoa Sativa kule Katavi tukampeleka kituo cha Polisi. Sisi ndio tulikaa naye tukamhoji kwenye hatua za kwanza. Sisi ndio tunajua kwenye hatua ya kwanza alisema nini, hatua pili alisema nini [..] Lakini kwa kifupi sana, shauri lile linachunguzwa.” – Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad