Kanye West 'Mliniona Chizi Nilipokataa Tuzo za Grammy, Sasa Mnajionea'


“Dunia ilifikiri nimechanganyikiwa niliposema sizitaki tuzo za Grammys.
Lakini sasa mmeweza kuyaona yale Diddy na wengine waliyowafanyia wanamuziki vijana ili wapate tuzo hizo.
Nilihitajika kuwaokoa kwa kuonyesha wazi kwamba tuzo hizo hazina maana.”
“Sekta ya muziki ni ya giza sana.
Nyote mlishuhudia jinsi walivyonilivyoshusha kutoka kuitwa bilionea hadi milionea kwa sababu nilikataa kufuata wanachotaka.
Niko tayari kuwa maskini lakini niishi kwa amani, kuliko kuwa bilionea asiyeweza kulala usiku.”
“Shetani hajui lini akome, atakutumia na kisha kukuacha katika fedheha. mtafuteni Mungu vijana.”

— Ye

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad