Kauli za Kutisha za KOCHA Gamondi Kuelekea Mechi ya Simba na Yanga

Kauli za Kutisha za KOCHA Gamondi Kuelekea Mechi ya Simba na Yanga''

Kauli za Kutisha za KOCHA Gamondi Kuelekea Mechi ya Simba na Yanga

Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu.

Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa soka, lakini kwetu kama technical stuff hii ni study ya kawaida.

Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na shauku aliyonayo mpinzani wetu dhidi yetu.''

Gamond kasema anakupimia idadi ya goli kulingana na shauku yako.

Kocha mkuu wa Yanga Sc anataka kuendeleza ubabe dhidi ya klabu ya Simba Sc,akisema msemo wake.

You play like you training….this is the most important,Gamond anatoa somo kwa Wachezaji wake jinsi ya kucheza Derby.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad