Kauli za Mo DEWJI Mkutano Mkuu Simba "Naomba Simba Tuache Majungu na Fitina"


"Miaka nane nyuma waandishi wa habari walikuwa wananiuliza nini malengo yako ndani ya Simba nikawa nawajibu ni kubeba ubingwa wa Afrika, wakawa wananiona huyu jamaa vipi ? Wananiona kama nina wazimu hivi, ama lofa lakini niwaambie wanasimba hili linawezekana" Mo Dewji

“Naomba tuache fitina, hatutaki fitina Naomba tuache fitina tukaze kamba tuwe kitu kimoja, tuache kugawanyika, tusigawanyike.

“Kila anayejitolea kuongoza tusimuangushe kwa maneno ya majungu na fitina, umoja ni nguvu,” Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba Sc, Mohammed Dewji kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 wa klabu hiyo
 “Naomba tuache fitina, hatutaki fitina Naomba tuache fitina tukaze kamba tuwe kitu kimoja, tuache kugawanyika, tusigawanyike.

“Kila anayejitolea kuongoza tusimuangushe kwa maneno ya majungu na fitina, umoja ni nguvu,” Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba Sc, Mohammed Dewji kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 wa klabu hiyo.

"Nimerudi Simba kwaajili ya kurejesha malengo ya Simba, nataka tuchukue ubingwa wa Afrika na hili linawezekana kama wanasimba tutakuwa pamoja" - Mo Dewji


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad