Kimenuka...Kanye West na Bianca wapeana Talaka

 

Kimenuka...Kanye West na Bianca wapeana Talaka

Ndoa ya Kanye West na Bianca inaelekea kwenye talaka, tovuti ya TMZ imeripoti kwamba safari ya wawili hao iliyodumu kwa miaka miwili, imekumbwa na dhoruba njiani.


Ye na Bianca wamekuwa wakiwaambia watu wao wa karibu kwamba, wameachana wiki chache zilizopita. Kanye pia amekuwa akiwaambia washkaji zake kwamba, mpango wake ni kuishi mjini Tokyo na kumtaliki Bianca.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad