Kipa Diarra na Tanzania Dam Dam, Afanya Hili Kwa Tanzania...


INAVUTIA SANA KUONA WACHEZAJI WAKIGENI WANAHUSUDU BENDERA YA TANZANIA 🇹🇿

Golikipa Bora kuwahi kutokea katika historia ya ligi kuu Tanzania Djigui Diarra anaendelea kuonyesha mahaba yake na Taifa la Tanzania 🇹🇿 kwa kujumuisha bendera ya TZ katika Gloves zake akiwa katika majukumu ya Timu yake ya Taifa Mali 🇲🇱
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad