KISA SIMBA AZAM KUMPA FEI TOTO MILIONI 50 KWA MWEZI

KISA SIMBA AZAM KUMPA FEI TOTO MILIONI 50 KWA MWEZI
Feisal Salum 'Fei Toto' 

Baada ya Tetesi za kumhusisha Feisal Salum 'Fei Toto' kuelekea Msimbazi kuwa nyingi inaelezwa kuwa uongozi wa Azam FC inajiandaa kumsainisha nyota huyo mkataba mpya ambao utamfanya alipwe Tsh million 50 Kwa mwezi.

Nyota huyo alijiunga na Azam FC mwaka jana akitokea Yanga SC na mkataba wake wa sasa unamalizika mwaka 2026 ambao unamfanya alipwe kiasi Cha Tsh million 16 Kwa mwezi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad