Kitumbua Cha Simba Kwa Feisal Kimeingia Mchana....


Kipengele kimeelekeza Yanga SC iwe ya kwanza kupewa taarifa na Azam FC endapo kuna ofa inayomtaka Feisal, Yanga wakiifikia hiyo ofa basi ipewe kipaumbele lakini sio kuzuia asiuzwe Simba. Kikawaida mchezaji anayo haki ya kuchagua pakucheza kwa makubaliano ya hiari na sio shuruti.

Klabu ya Yanga Sc imekabia juu suala la Feisa Salum mara baada ya klabu ya Yanga kusanukia dili la Feisal kuhitajika na klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Sc.
A
Hii imeanza mara baada ya Ally Shabani Kamwe kuwataka mashabiki wa Yanga Sc kumfollow tena Feisal Salum na Feisal kukiri hana shida yoyote na Engeneer Hersi Said,hii sio mapicha ni
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad