Kiungo wa Zamani wa Yanga Chuji Atupa Dongo Kwa Khalid Aucho: Dogo Hanifikii Hata Kidogo

CHUJI AFUNGUKA: AUCHO MDOGO SANA KWANGU KWA KIWANGO HAJANIFIKIA

 Aliyekuwa kiungo wa kati wa klabu ya Yanga, Azam na timu ya Taifa Tanzania Athuman Iddi "Chuji" amesema kwa kiwango chake cha alichokuwa nacho zamani ukifananisha na kiwango cha sasa cha kiungo wa kati wa Yanga na timu ya Taifa Uganda Khalid Aucho, Aucho hajamfikia hata kidogo.

"Kamuulize kaka'ake Thom Maweje, Khalid mdogo sana, hajanifikia hata kidogo, kupora kutembea, hajanifikia" alisema Chuji

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad