Kocha Goran na Wenzake Wafukuzwa Timu ya Pamba Jiji FC, Wandiba Ndani

Kocha Goran na Wenzake Wafukuzwa Timu ya Pamba Jiji FC,  Wandiba Ndani


Uongozi wa klabu ya Pamba Jiji unautaarifu Umma kuwa umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha wao mkuu Goran Kopunovic

Pamba Jiji Fc pia imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa wasaidizi wake Salvatory Edward, Kocha wa Magolikipa Razack Siwa na kocha wa Viungo Cirus Kakoza.

Kwa sasa timu ya Pamba Jiji Fc itakuwa chini ya Kocha Mathias Wandiba ambaye alikua anahudumu katika timu ya U- 20 ya klabu hiyo.

Uongozi wa Pamba Jiji Fc unawatakia kila la kheri katika majukumu hao mapya.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad