Kocha Mpya wa AZAM Aanza Kuota Ndoto: Tunautaka Ubingwa wa NBC PL

 

Kocha Mpya wa AZAM Aanza Kuota Ndoto: Tunautaka Ubingwa wa NBC PL

𝗧𝗔𝗢𝗨𝗦𝗦𝗜 ``𝗧𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗪𝗔𝗔 𝗨𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗡𝗕𝗖 𝗣𝗟.

“Tuna furaha kwa ushindi kwa sababu tunazidi kupaa juu ya msimamo, nimekitengeneza kikosi na naona kimeanza kunipa kile ambacho nilikuwa nahitaji.

Nataka timu yangu icheze mpira wa kasi, wachezaji wangu wasikae na mpira sana, mara moja wameuachia, lakini pia wajitoe na kupambana, tukifanya hivi tunaweza kutwaa ubingwa ambao upo wazi, yoyote anaweza kuchukua, hata sisi msimu huu kwa kikosi hiki tunaweza kuupata,”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad