Konkoni Awashika Pabaya Yanga kesi yake FIFA

 

Konkoni awashika pabaya Yanga kesi yake FIFA

Baada ya Augustine Okrah kushinda kesi yake ya madai dhidi ya Yanga, aliekua Mshambuliaji wa Klabu hiyo, Hafiz Konkoni nae ameshinda kesi yake.


Jana Oktoba 17, Uongozi wa Klabu ya Yanga, wamepokea barua kutoka FIFA kuhusu maamuzi ya kesi hiyo.


Wote walifungua kesi kudai fidia zao baada ya kuvunjiwa mikataba.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad