Kuna Kiongozi TFF Mke wake Anafanya Kazi GSM : Wazee Simba Wafunguka


Kuna Kiongozi TFF Mke wake Anafanya Kazi GSM : Wazee Simba Wafunguka

“Sisi wazee tumegundua kuwa kuna kiongozi mmoja mwandamizi wa TFF mke wake anafanya kazi GSM hivyo hawezi akatoa kauli kwa GSM.

“Kuna kuongozi ambaye ni mtendaji bodi ya Ligi mwenye majukumu ya kupanga marefa naye anakampuni ya kufagia iko ndani ya GSM,”-

Mmoja kati ya Wazee wa Simba Sc, akihoji uhalali wa GSM kudhamini vilabu nane vya Ligi Kuu ya NBC kwenye mkutano wa Wazee wa Simba na Wanahabari uliofanyika leo, Oktoba 21 jijini Dar es Salaam.u
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad