Kwanini GSM Adhamini Timu 8 Kwenye Ligi Moja ?

Kwanini GSM Adhamini Timu 8 Kwenye Ligi Moja ?



 “Sisi wanasimba hatuna malalamiko ya kufungwa, kufungwa ni mchezo wa mpira lakini ni namna gani jinsi timu yetu imefungwa hasa katika mchezo wa juzi.

“Kuna mambo tumeyaona hasa kuhusu udhamini wa GSM, udhamini ambao haupo katita kanuni wala katiba ya TFF, GSM anadhamini klabu 8 tofauti nna kanuni za TFF wenyewe, kwanini adhamini timu 8 kwenye ligi moja ? Jambo ambalo haliwezekani popote duniani lakini kwa makusudi vyombo vinavyosimamia mpira vimemruhusu,”-

Mmoja kati ya Wazee wa Simba Sc, akihoji uhalali wa GSM kudhamini vilabu nane vya Ligi Kuu ya NBC kwenye mkutano wa Wazee wa Simba na Wanahabari uliofanyika leo, Oktoba 21 jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad