Liverpool Yaendeleza Ubabe Msimamo wa LIGI Kuu England

Liverpool Yaendeleza Ubabe Msimamo wa LIGI Kuu England

Liverpool imeendelea kujichimbia zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Selhurst Park (London).

Majogoo wamefikisha pointi 18 baada ya mechi 7 za kwanza za Ligi wakishinda mechi 7 na kupoteza moja. Palace wanasalia nafasi ya 18 baada ya kukusanya alama 3 tu kwenye mechi 7.

FT: Crystal Palace 0-1 Liverpool

⚽ Jota 9’

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad