Mama wa Mwanamuziki Mheshimiwa Temba Afariki Dunia

Mama wa Mwanamuziki Mheshimiwa Temba Afariki Dunia


Mama mzazi wa Msanii Mh. Temba amefariki dunia leo Oktoba 25, 2024 ambapo Msanii huyo amethibitisha kupitia ukurasa wake wa kijamii.


Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Memba huyo wa kundi la TMK ameandika;


"Mama yangu kipenzi umeniacha mwanao Pumzika kwa amani Edna eliangiringa urio" ameandika Temba.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad