MASKINI Shomara Kapombe Afunguka Sababu za Kulia Sana Simba ilipofungwa 5 na Yanga




Shomari Kapombe ::
.
“Kama kuna mechi iliniuma ni ile tuliyofungwa mabao 5-1 na Yanga. Mashabiki wetu walikuwa na haki ya kutusema, ndio maana nililia sana hadi nilitamani kuachana na soka ili kuondoa maumivu ambayo nilikuwa nayo. Nimecheza mechi nyingi za dabi ila ile iliniuma sana, maana tulicheza vizuri ila tulizidiwa sehemu.”
.
“Dabi ya Oktoba 19 tunajipanga kuhakikisha heshima yetu inarejea na mashabiki wetu wanafurahia kuwa na msimu mzuri. Itakuwa mechi ya mbinu na ushindani.” Kapombe amesisitiza kuwa anatamani kuona wanaandika rekodi katika dabi hiyo itakayoacha heshima ya kusimuliwa na wengine kama ilivyo kwa mastaa waliowatangulia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad