MCHAMBUZI: SIMBA NI BORA KULIKO YANGA KWA SASA

MCHAMBUZI: SIMBA NI BORA KULIKO YANGA KWA SASA


Kwa Sasa Simba ni bora kuliko Yanga, Simba tayari inatishia ndani ya ligi kuu, imecheza michezo minne na imekusanya point nyingi na tayari wameongeza Mpanzu wanaendelea kuimarika zaidi.
Yanga inapata matokeo madogo madogo sababu timu nyingi zinakuja kucheza na Yanga zikiwa zinakubali kuwa timu za pili katika uwanja na wakiingia wanajilinda

Kwa Simba , timu nyingi zinakuja kucheza na Simba wakijisahau na kujua kuwa kama wanacheza na timu kubwa wanajua timu ni ileile na wakikutana nayo wanashindwa kuipa heshima na mwishowe wanaambulia magoli mengi. 

Boiboimkali

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad