Mchambuzi: Yanga Wakikuacha Alama Tano Sio Rahisi Kuwapata, Simba Wawe Makini

Mchambuzi: Yanga Wakikuacha Alama Tano Sio Rahisi Kuwapata, Simba Wawe Makini

Ameandika haya Mchambuzi wa Michezo Hans Rafael:

Matokeo ya leo yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana,kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo).

Mnaweza kusema bado mapema ila mechi ya tarehe 19 imebe ba hatima ya msimu mzima…..Yanga wakikuacha alama 5 siyo rahisi kuwapata tena.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad