Mchezaji Pacome Agomea Mkataba Mpya Yanga...



TAARIFA kutoka ndani ya Yanga zinasema bado mabosi wa klabu hiyo wanaendelea kupambania namna ya kuongeza mikataba ya nyota wake wawili, Pacome Zouzoua na beki Kouassi Yao ambao wamekuwa muhimili mkubwa katika kikosi cha kwanza.

Kwa Yao mambo yanaelezwa ni mepesi na huenda akawa wa kwanza kusaini mkataba, huku Pacome akiendelea kusikilizia kwani ndiye mchezaji ambaye tayari ana ofa tatu mezani kutoka ndani na nje ya Tanzania.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad