Mke wa Roma Abadili Jina Lake Instagram

Mke wa Roma Abadili Jina Lake Instagram


Mke wa Roma aliyekuwa akitumia jina la MrsRoma kwenye ukurasa wake wa Instagram amebadili jina hilo na kuweka jina lake halisi la Nancy Daniel hii inakuja baada ya masaa machache kupita kwa Roma kushea picha akiwa na mtoto Marekani.


Roma Mkatoliki alishea picha akiwa amembeba mtoto kitendo ambacho kiliibua maswali na watu wengi kuamini huenda akawa ni mtoto wake aliyempata akiwa huko Marekani anapoishi kwa sasa.


Huenda ndoa yao ikawa matatizoni baada ya kudumu kwenye Mahusiano kwa muda mrefu, Roma na Mke wake Nancy walifunga pingu za maisha mwaka 2016 na pamoja wamebahatika kupata watoto 2 wakike na wakiume.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad